Mshambuliaji wa Liverpool, Jordon Ibe leo amefunga goli zuri la kusawazisha katika dakika ya 28 dhidi ya Malaysia XI.
Mechi hiyo ya mwisho katika ziara ya Liverpool ya maandalizi ya msimu mpya huko Asia na Australia imemalizika kwa sare ya 1-1.
Malaysia XI ndio walikuwa wa kwanza kuandika goli dakika ya 13 kupitia kwa Patrick Ronaldinho
Tazama video ya goli lake hapa chini:
0 comments:
Post a Comment