Kama una hamu ya kujua kiasi gani Cristiano Ronaldo anapenda kufunga magoli, basi hapa umepata jibu.
Real Madrid wanaendelea na maandalizi ya msimu mpya huko Australia na sasa wanajiandaa kucheza mechi ya kirafiki ya michuano ya International Champions Cup itayopigwa Ijumaa dhidi ya Manchester City.
Kuna video moja imeonekana leo kwenye chombo kimoja cha Hispania ikimuonesha Ronaldo akimuwakia kocha mkuu wa klabu hiyo, Rafa Benitez baada ya kukataa goli lake.
Hii inatosha kujua jinsi Ronaldo alivyo mchezaji mkubwa na kama unafanya mazoezi kwa kujituma kiasi hiki, lazima utafanya vizuri tu.
Angalia video hapa chini:
0 comments:
Post a Comment