Cristiano Ronaldo kiasili ni mtu wa ushindani, anapenda kushinda bila kujali ni tukio gani anashindania.
Mwanasoka huyo anayeshikilia tuzo ya Ballon D'Or ameshangilia ushindi mdogo tu katika mazoezi na wenzake kama anavyofanya kwenye mechi za ligi ya mabingwa.
Cheki hapa alivyofanya baada ya kufanikiwa kuingiza mpira na kumfumua Illaramendi Wakati wa mazoezi ya cone drill.
Ameshangilia staili yake ya ‘SIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!’ baada ya kupata pointi kama alivyofanya baada ya kushinda Ballon D'Or mwezi Januari mwaka huu,
Maskini Illara.
0 comments:
Post a Comment