Bila shaka kila mtu atavutiwa akisikia kikosi cha Barcelona kipo jijini Dar.
Hali hii imemtokea mchezaji nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani, NBA, Kobe Bryant,
Baada ya Barcelona kutua Los Angels Lakers jana, Bryant alialikwa kwenda kuonana na washindi hao wa makombe matatu msimu uliopita.
Tazama video hapa chini;
0 comments:
Post a Comment