Wednesday, July 22, 2015

Kama kuna mtu anawaza kwamba Bastian Schweinsteiger  atapata urahisi Manchester United, kweli amepotea!.

Akiwa amejiunga na Man United siku za karibuni kutokea Bayern Munich, Schweinsteiger amecheza mechi yake ya  pili asubuhi ya leo, Mashetani wekundu wakishinda 3-1 dhidi ya San Jose Earthquakes.

Baada ya mechi, kocha Louis van Gaal aliulizwa kuzungumzia kiwango cha Schweinsteiger katika mechi yake ya pili.

Meneja huyo amejibu hirahisi mno "Amecheza hovyo".

Wakati Van Gaal akimkosoa Mjerumani huyo, mashabiki wa United walikuwa Busy ku-share pasi moja ndefu iliyochongwa kwa ufundi na Schweini kwenye mechi hiyo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video