Thursday, July 2, 2015

UJIO wa Donald Ngoma umeonekana kuunda safu hatari ya ushambuliaji katika kikosi cha Yanga kinachojiandaa kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la Kagame na Ligi ya Mabingwa Afrika.
Ngoma anayetokea klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe, ameungana na mkali wa kucheka na nyavu, Amissi Tambwe kama washambuliaji wa kati, wakiunda kombinesheni kali ya uchekaji na nyavu katika kikosi cha wakali hao wa Jangwani.
Kikosi hicho sasa kitakuwa na kombinesheni kama tatu hivi kwani ukiacha hiyo ya wapachika mabao pia kuna nyingine ya safu ya kiungo ikiwa na wachezeshaji mahiri Haruna Niyonzima, Deus Kaseke na Salum Telela.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video