Thursday, July 23, 2015

Utafiki unaotumia takwimu umefanyika na kutoa ripoti kwamba Mario Balotelli ndio mchezaji ambae ana rekodi nzuri ya upigaji penati zaidi ya wachezaji wengi nyota Duniani.
Uchunguzi huo umehusisha idadi ya penati walizopiga na kutafuta asilimia ya penati walizopata kati ya walizopiga. Balotelli alipata nafasi ya kupiga penato 30 na kupata penati 28, hivyo basi amekuwa mpigaji penati bora kwa asilimi 93.
Hii hapa ni orodha kamili.
1)Mario Balotelli (Liverpool) – 93%. amefuna 28 kati 30
2)Zlatan Ibrahimovic (PSG) – 87%. amefunga 54 kati ya 62
3)Arturo Vidal (Juventus) – 87%. Amefunga 27 kati ya  31
4)Giuseppe Rossi (Fiorentina) – 87%. amefunga 34 kati ya  39
5) Cristiano Ronaldo (Manchester United) – 87%. Amefunga 78 kati ya 90
6)Roberto Soldado (Tottenham) – 87%. Amefunga 26 kati ya 30
7)Frank Lampard (Manchester City) – 83%. amefunga 64 kati 77
8)Steven Gerrard (Liverpool) – 82%. amefunga 49 kati ya 60
9)Oscar Cardozo (Trabzonspor) – 82%. amefunga 41 kati ya 50
10)Francesco Totti (Roma) – 81%. amefunga 78 kati ya 96

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video