UNAIKUMBUKA HII YA JOSEPH KIMWAGA WA AZAM FC? Moja ya vijana mahiri kwa kutandaza soka nchini ni mshambuliaji kinda wa Azam FC, Joseph Kimwaga. Mwaka 2012 Kimwaga alichukua tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya Uhai Cup na leo ametukumbusha hilo kupitia ukaunti yake ya facebook.
0 comments:
Post a Comment