Thursday, July 9, 2015


DROO ya michuano ya  All African Games  2015  imefanyika leo Julai 9 mwaka huu makao makuu ya CAF, Mjini Cairo, Misri.

Droo zote za mashindano ya Wanaume na Wanawake zimeongozwa na katibu mkuu wa CAF, Hicham El Amrani  akisaidiwa na  Yosef Tesfaye Argaw , mjumbe wa CAF na mratibu wa mashindano ya mwaka huu.

MAKUNDI 


WANAWAKE



WANAUME



Mshindi kwa kwanza na wa pili kwa kila kundi atafuzu hatua ya nusu fainali.


Fainali za michuano hiyo zitachezwa kuanzia Septemba 3-18 mwaka huu,  Mjini Brazzaville, Congo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video