Straika wa Colombia, Radamel Falcao leo ameanza mazoezi katika kikosi cha Chelsea ambacho kinajiandaa na msimu mpya nchini Marekani.
Baada ya mazoezi hayo chini ya Jose Mourinho, Falcao ame-tweet mchana huu akisema:
"Ni furaha kujiunga na timu na kuanza kazi na wachezaji wenzangu Chelsea".
0 comments:
Post a Comment