Thursday, July 23, 2015

Kuna watu wanajua kutabiri asikwambie mtu!
Kuna shabiki mmoja wa Liverpool alitweet mwezi Mei mwaka huu akitabiri wachezaji watakaowasili Anfield majira ya kiangazi na kweli imetokea.
Shabiki huyo wa Liverpool, @adeelarmhead, a.k.a ArmHead, ambaye anajiita mchambuzi wa soka wa muda ali-tweet kwenye bio yake siku tatu tu baada ya msimu wa 2014-15 wa ligi kuu soka England kumalizika Majogoo wakifungwa 6-1 na Stoke City.
Akifikiria wachezaji ambao Liverpool itawasajili majira ya kiangazi, ArmHead alimtaka kocha wa Liverpool kuwanasa mshambuliaji wa Lyon, Alexandre Lacazette, kiungo wa Roma, Miralem Pjanic na fowadi wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang.
Pia alihofia kwamba Liverpool itaishia kuwasajili James Milner (akiwa mchezaji huru), Danny Ings (akiwa mchezaji huru) na Christian Benteke.
Kama tunavyojua sasa, wachezaji hao aliowataja ArmHead wametua Liverpool.

Liverpool pia wamemsajili Joe Gomez, Nathaniel Clyne na Roberto Firmino majira haya ya kiangazi.
Tazama Tweet hiyo ya mwezi Mei...


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video