Tuesday, July 14, 2015

Mshambuliaji wa Paris St-Germain Edinson Cavani, 28 ndio "kipaumbele" kwa Manchester United kuziba nafasi ya Robin van Persie anayeelekea Fernabahce (TalkSport) pia mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 26, anasakwa vikali na Manchester United wakati Louis van Gaal akijiandaa kuimarisha safu ya ushambuliaji, huku akikaribia kutumia zaidi ya pauni milioni 300 msimu huu (Daily Telegraph), Manchester City watatumia zaidi ya pauni milioni 100 wiki hii watakapojaribu kumsajili Kevin de Bryne kutoka Wolfsburg (Daily Telegraph), kuwasili kwa Raheem Strerling Manchester City kutasababisha kuuzwa kwa Edin Dzeko, 29 na Stevan Jovetic, 25 kwenda Roma na Inter Milan (Manchester Evening News), Ajax wanazungumza na Arsenal kuhusu kumchukua Yaya Sanogo, 22 kwa mkopo (Daily Mail), beki wa Liverpool Martin Skirtel, 30, amesema alikataa kuhamia Inter Milan na badala yake kusalia Anfiled (Liverpool Echo), Tottenham wanamtaka mshambuliaji wa Marseille Michy Batshuayi, 21, ili kucheza na Harry Kane (Daily Mail) rais wa Real Madrid Florentino Perez amesema Sergio Ramos, 29 anayesakwa na Manchster United hatoondoka (Marca), kiungo wa Arsenal Mesut Ozil, 26, ana wasiwasi wa kuchezeshwa mahala asipopendelea msimu huu na anataka kuzungumza na Arsene Wenger (Sun), Wenger amesema Ozil hauzwi msimu huu (London Evening Standard), kiungo wa Dynamo Kiev Jeremain Lens, 27 anazungumza na Sunderland (Guardian), Southampton wanajiandaa kumsajili kiungo wa Feyenoord Jordy Claise, 24, baada ya kumuuza Morgan Schneiderlin, 25 kwenda Manchester United (Sun), kujumuisha kwa jina la David De Gea katika orodha wa wachezaji wa Man Utd wanaokwenda Marekani kunamaanisha ni uwezekano mdogo uliopo wa kipa huyo kwenda Real Madrid (Independent), Newcastle wanataka kumsajili winga wa Tottenham Andros Townsend, 23. Sunderland na Aston Villa pia wanamtaka (Daily Star), mshambuliaji wa Swansea, Michu, 29, atajiunga na Rayo Vallecano (Daily Star), Carl Jenkinson amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano Arsenal, lakini mchezaji huyo atacheza kwa mkopo West Ham (Daily Telegraph), Manchester United wanazungumza na Paris Saint Germain kutaka kumsajili Edinson Cavani, lakini PSG wamesema watamuuza tu ikiwa Angel Di Maria atajumuishwa kwenye mkataba huo (The Sun), Chelsea wanapanga kumpa mkataba wa miaka minne Pedro wa Barcelona, kabla ya Chelsea kuanza ziara yake ya Marekani (Daily Mirror), Liverpool wapo tayari kumshawishi Marco Reus kuziba nafasi ya Raheem Sterling (Metro). 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video