Kwa mujibu wa Msemaji wa Mbeya City FC, Dismas Ten, mama mzazi wa kocha mkuu wa klabu hiyo, Juma Mwambusi amefariki dunia alfajiri ya leo.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu itakujia baadaye...
Pumzika kwa Aman mama yetu....pole sana familia ya Mwambusi, Mungu awatie wepesi wakati huu wa Majonzi.
Wednesday, July 1, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment