Friday, July 31, 2015

Jerry 
Mkuu wa Idara ya habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Cornel Muro.
Taarifa aliyotumwa na Jerry asubuhi inasomeka:

"Ndugu zangu Wana family Ya Michezo Tanzania,Kwa masikitiko nawajulisha kuwa baba Yangu mpendwa mzee cornel muro amefariki dunia akiwa katika hospital Ya muhimbili akiwa anapatiwa matibabu ICU,mipango Ya mazishi inafanyika nyumbani Kwa mzee muro ubungo Maziwa,Bwana ametoa na bwana ametwa Jina lake lihimidiwe."
Mungu ailaze roho ya baba yetu Cornel mahala pema peponi.
Amina
MTANDAO HUU UNAMPA POLE SANA JERRY PAMOJA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA YA MAREHEMU BILA KUWASAHU WADAU WA MICHEZO.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video