Thursday, July 9, 2015


Kikosi cha Manchester United kimerudi mazoezini mapema wiki hii katika uwanja wa Carrington kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu England na mashindano mengine.
Ukiangalia picha nyingi zilizopigwa wakati wa mazoezi, mchezaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay ameonekana kutumia muda mwingi kupiga stori na kijana mwenzie, Luke Shaw.
Luke Shaw amebadilisha picha ya nyuma ya akaunti yake ya Twitter na kuweka ile ambayo wapo na Mholanzi mwenye miaka 21, Memphis Depay.
Tazama picha ya nyuma ya Luke Shaw katika mtandao wa Twitter:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video