Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Shaban Kondo amekamilisha uhamisho wake wa kutoka Stand United kwenda klabu ya KCC ya Uganda.
Kondo alifanya majaribio na mabingwa hao wa zamani wa Uganda na kufanikiwa kumvutia kocha Sam Ssimbwa.
Baada ya kuridhishwa na kiwango cha mshambulijia huyo aliyewahi kufanya majaribio na Simba akitokea Msumbiji, KCCA wamemsainisha mkataba wa mwaka mmoja kwa dau la Milioni Ishirini na mbili.
0 comments:
Post a Comment