Monday, July 13, 2015

Wakala wa Golikipa wa Manchester United, Victor Valdes amesema hajafanya mazungumzo yoyote na klabu ya Uturuki ya  Antalyaspor, lakini amethibitisha kuwa timu hiyo inawinda saini ya Mhispania huyo.
Wakala huyo anayeitwa, Gines Carvajal amesema: "Nimekuwa na mawasiliano na watu mbalimbali kutoka Uturuki wakitaka mazungumzo ya kumsajili Victor, lakini sijaongea na rais wa klabu ya Uturuki".
Akuzungumza zaidi na AS ameongeza: "Sijui. Sina mpango wa kuzungumza na mtu yeyote kwasababu mchezaji hajavutiwa kwenda Antalyaspor.
"Anatamani kuendelea kubakia Manchester United na amebakiwa na mwaka mmoja katika mkataba wake".
"Hatuoni sababu ya kuondoka klabuni hapo. United ni miongoni mwa timu mbili au tatu bora zaidi duniani.
'Victor anajipanga kupigania nafasi ya kuanza msimu ujao na anahitaji kuisaidia timu kadri atavyoweza".



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video