Thursday, July 9, 2015

Lukas Podolski
Kwa takribani miaka 3 niliyokuwa hapa nimefurahi sana kufanya kazi na watu muhimu sana katika timu ya Arsenal, Ningependa kumshukuru kila mmoja kuanzia viongozi, meneja pamoja na benchi lake la ufundi vilevile na wachezaji wenzangu, ambao kwa namna moja au nyingine wamenisaidia kuifanya London kuwa maskani yangu ya pili. Kwa upande wa mashabiki...Ni mashabiki bora kabisa nchini Uingereza ambao wamenipa sapoti mimi pamoja na timu bila kujali kilichotokea, mtabaki kuwa moyoni mwangu milele na nitabaki kuwa 'Gunner' milele! nina imani kubwa kuwa msimu ujao timu itapigania ubingwa na nitakuwa nikiishuhudia kama mshabiki! COYG... (Come On You Gunners)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video