Thursday, July 9, 2015

Klabu ya Simba inaendelea na kambi yake wilayani Lushoto mkoani Tanga kwaajili ya kujiandaa na msimu wa ligi 2015 – 2016.
Kambi hiyo ya Simba ambayo iko kwenye wilaya tulivu na yenye baridi imezidi kupamba moto chini ya kocha mkuu Dylan Kerr na msaidizi wake Selemani Matola wakiwa pamoja na kocha wa viungo Dušan Momčilović tayari kwa pamoja wamekwisha anza kubaini sehemu ambazo zinahitaji uboreshaji zaidi katika timu.
Akizungumza na Simbasports.co.tz kocha Kerr amesema kuwa ” Kambi inaendelea vizuri na hali ya hewa hii ni nzuri kwa maandalizi pia utulivu uliopo ni muhimu kwa wachezaji kwa ajili ya kujenga stamina na umakini’’.
Kocha wa viungo Dušan Momčilović yenye amejikita kujenga utimamu wa mwili ambalo ni jambo muhimu katika kujenga timu yenye pumzi na kuweza kuhimili mikikimikiki ya ligi .

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video