Monday, July 13, 2015

KAMBI ya Simba iliyopo mjini Lushoto, imetengemaa baada ya ‘bundi’ (balaa) lililokuwa likiwaandama wachezaji wake kwa kukumbwa na majeruhi kuyeyuka.
Wakati kikosi cha Simba kikizidi kujifua vilivyo kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu Mwingereza, Dylan Kerr, kambi hiyo ilianza kuingia doa kwa nyota kadhaa kukumbwa na majeruhi.
Wachezaji hao ni Ivo Mapunda na Mussa Hassan ‘Mgosi’ ambao kwa sasa wapo fiti na tayari wanaendelea na programu ya mazoezi ya Kerr na wasaidizi wake.
Kwa mujibu wa daktari wa Simba, Yassin Gembe, Ivo na Mgosi wapo imara ikiwa ni baada ya Ijumaa iliyopita kushindwa kufanya mazoezi ya pamoja na wenzao kutokana na kusumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya, ikiwemo majeraha hivyo kulazimika kupumzika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video