Saturday, July 25, 2015

WAKATI Azam wakitumia mbinu za kisayansi kumnasa Michael Olunga wa Gor Mahia ya Kenya, Simba wametumia njia ya mkato na sasa wapo katika nafasi kubwa ya kumsajili mshambuliaji huyo hatari.
Baada ya Olunga kujipatia umaarufu katika suala zima la kufunga mabao kupitia michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam, klabu lukuki zilitangaza kumwania straika huyo huku Azam wakiwa kimya.
Hali hiyo ilionyesha vita ya kuinasa saini ya nyota huyo ingebaki kwa Simba, Yanga na Bidvest Wits ya Afrika Kusini, lakini BINGWA limenasa siri kuwa Azam wamefika mbali kwa kutuma mwakilishi wao kwenda katika kituo kinachommiliki Olungacha Liberity Sports ili iweze kumsajili wakati wa dirisha dogo la usajili wa msimu ujao litakalofunguliwa Desemba mwaka huu, kwani tayari imeshatimiza idadi ya wachezaji saba wa kigeni kama kanuni za TFF zinavyoagiza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video