Thursday, July 23, 2015

Bosi wa Arsenal anapendwa na wamiliki wa klabu hiyo na kuchukiwa na mashabiki kutokana na tabia yake ya kutumia pesa kidogo kwenye usajili. 
Sera za Arsene Wenger ni kutumia pesa ndogo kwenye usajili na sio kupigana kwa kulipa madau makubwa kama wanavyofanya Manchester united na Manchester city.
Swali la msingi ambalo aliulizwa meneja  huyu mwenye miaka 65 ni kuhusu kustaafu soka. 
Jibu lake kuhusu hilo swali lilikuwa jepesi, “Huwa najikuta na hayo mawazo lakini huwa hayakai kichwani mwangu hata zaidi ya sekunde tano na kupotea”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video