Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka cha Wanawake chini (TWFA) inatangaza kuwa wafuatao wamepita katika mchujo wa awali katika nafasi walizoomba kama ifuatavyo:
1. Amina Ali Karuma - Mwenyekiti
2. Devotha John Marwa – Mwenyekiti
3. Cecilia Makafu – Katibu Msaidizi
4. Somoe Roberst Ng’itu – Katibu Msaidizi
5. Debora Ernest Mkemwa – Mjumbe Kamati ya Utendaji
6. Mwanaheri Kalolo – Mjumbe Kamati ya Utendaji
7. Theresia Reginald – Mjumbe Kaamti ya Utendaji
Hivyo mtu yeyote mwenye pingamizi anaombwa aliwasilishe katika ofisi za TFF – Karume kuanzia tarehe 15/07/2015 mpaka 20/07/2015.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
0 comments:
Post a Comment