Timu ya Ruvu Shooting imewasainisha mkataba wa miaka miwili wachezaji wawili Damas Makwaya na Issa KANDURU, wote kutoka Ruvu JKT.
Aidha wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Shooting waliokwenda mafunzo ya kijeshi katikati ya msimu wa ligi mwaka jana wamejiunga na timu hiyo baada ya mafunzo.
Said Dilunga
Hamis Mohamed
Gidion Sepo
Mau Gofu
Rahim Madega
Maneno Maji
Mohamed Said
Kulwa Mobi.
Hamis Mohamed
Gidion Sepo
Mau Gofu
Rahim Madega
Maneno Maji
Mohamed Said
Kulwa Mobi.
Kambi ya mazoezi ya timu hiyo inaanza kesho Mabatini, Mlandizi, Kibaha Pwani chini ya Tom Olaba.
0 comments:
Post a Comment