Kuna stori kwamba Real Madrid inavutiwa kumsaijili Msweden, Zlatan Ibrahimovic.
Rais wa zamani wa Real Madrid, Ramon Calderon ame-tweet kwamba kuna uwezekano mkubwa wa dili hilo kukamilika na klabu hiyo imevutiwa mno na nyota huyo, huku yeye akiwa kiunganishi kama alivyofanya kwa Cristiano Ronaldo.
0 comments:
Post a Comment