Tanzania itaanza na Malawi katika mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia Urussi mwaka 2016.
Kwa mujibu wa Ratiba ya mashindano iliyotolewa na FIFA Tanzania itaanza hatua ya awali ya mchujo kutokana kuwa chini kwenye viwango vya FIFA.
Endapo Tanzania itafanikiwa kusonga mbele, itakutana na mtihani wa Algeria.
0 comments:
Post a Comment