Thursday, July 9, 2015

Ramadhan Singano 'Messi' leo amesaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam FC, ikiwa ni siku mbili tu baada ya Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kamati ya Maadili na Hadhi za wachezaji kuvunja mkataba wake na klabu ya Simba.

Messi ataungana na wenzake katika mazoezi ya Azam FC yanayofanyika chini ya Mwingereza, Stewart Hall.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video