Thursday, July 9, 2015

Raheem Sterling amekosa mazoezi ya Liverpool kwa siku ya pili mfululizo baada ya kuiambia klabu hiyo kwamba bado anaumwa.
Sterling mwenye miaka 20 hakuwepo katika mazoezi ya jana, akidai kwamba anaumwa, lakini alitarajiwa kuwasili leo.
Si klabu wala mchezaji aliyezungumzia kutokuwepo kwake, ingawa inafahamika kwamba Liverpool ina utamaduni wa kutumia madaktari wake kupima afya za wachezaji.
Hata hivyo, mchezaji huyo ameweka wazi kwamba anataka kutimkia Manchester City na mapema wiki hii amemuambia Meneja wake, Brendan Rodgers kwamba aondolewa katika ziara ya klabu hiyo huko mashariki ya mbali na Australia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video