Tuesday, July 14, 2015


PLUIJM ni noma! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kutokana na uamuzi mgumu na wa kishujaa uliofanywa na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, kwa kuwang’oa baadhi ya vigogo katika kikosi chake cha kwanza, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuunda jeshi hatari la ushindi.
Baada ya kukaa n akikosi hicho kwa vipindi viwili vifupi msimuw a 2013/14 na 2014/15, Pluijm amebaini kuwa na wachezaji wasiostahili kucheza namba wanazozitumikia kutokana na aina ya uchezaji wao inayokinzana na mifumo na falsafa zake.
Miongoni mwa wachezaji vigogo wa Yanga wanaoonekana kuelekea kupoteza nafasi katika kikosi cha kwanza, ni beki wa kushoto wa muda mrefu, Oscar Joshua ambaye ameletewa kijana anayeweza kukidhi matakwa ya Mholanzi huyo, ikiwa ni baada ya kumshuhudia mapema mwaka huu kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, akiwa na kikosi cha KMKM, Haji Mwinyi.
Mwinyi tayari ametishia kumpora namba Joshua, baada ya kuonyesha kiwango katika mechi mbili za kirafiki alizocheza kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video