Christian Benteke leo amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza na baadhi ya wachezaji wapya wa Liverpool baada ya kukamilisha usajili uliogharimu paundi milioni 32.5 kutokea Aston Villa.
Majogoo wa jiji walitangaza kumsajili rasmi Benteke wakimsainisha mkataba wa muda mrefu jana jumatano.
Benteke aliendelea kuongeza kasi yake katika uwanja wa mazoezi wa Liverpool wa Melwood.
New Liverpool striker Christian Benteke trains for the first time at the club's Melwood training gorund on Thursday
Benteke akitaniana na Mario Balotelli
Benteke aliungana na Roberto Firmino ambaye amefanya mazoezi kwa mara ya pili
Benteke akifanya vitu vyake....
0 comments:
Post a Comment