Mchezaji wa Liverpool ambae alisajiliwa wakati mashindano ya Copa America yanaendelea amewasili rasmi kwenye ofisi za klabu yake mpya na kulakiwa na mashabiki wengi wakitaka saini yake.
Roberto Firmino ambae amesajiliwa kwa ada ya paundi milioni 29 alifika kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool Melwood.
Kuna uwezekano pia Christian Benteke akawa mchezaji anayefuatia kujiunga na Liverpool kwa ada ya paundi milioni 32.5
0 comments:
Post a Comment