Hatimaye Liverpool wakamilisha usajili wa mshambuliaji wa Kibelgiji na klabu ya Aston Villa, CHRISTIAN BENTEKE kwa ada ya pauni milioni 32.5.
Nani kuunda safu ya ushambuliaji baada ya kuwashuhudia DANNY INGS, ROBERTO FIRMINO kutinga Anfield mapema mwezi huu?
Hapa mambo ni dole tu, hakuna noma mazee!
Benteke, 24, akisaini mkataba wa muda mrefu
Benteke amefunga magoli 42 katika mechi 89 za Premier League tangu ajiunge na Aston Villa mwaka 2012
Benteke akiwa amevalia uzi wa Liverpool na kupozi katika uwanja wa mazoezi wa Melwood
0 comments:
Post a Comment