Friday, July 31, 2015


Wakati Urusi ikijiandaa kuandaa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2018, marafiki wa Urusi kisiasa nchi ya China, imechaguliwa kuandaa mashindano mengine makubwa duniani ya Olympic mwaka 2022. 
Jiji la Beijing ndio limechaguliwa kuandaa mashindano hayo kwa mara nyingine tena kwani mwaka 2008 pia walipata nafasi hiyo.

Beijing itafanya hivyo kwa mara nyingine huku ikiwa ya kwanza kuandaa mashindano hayo nyakati zote mbili {majira ya baridi na kiangazi}.
Beijing ililishinda jiji la Almaty la nchini Kazakhstan.

Mashindano ya Olympic yaliyopita nchini china yalilaumiwa kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri, hata hivyo kamati ya maandalizi ya michuano hiyo imedai mashindano yajayo yatakuwa bora Zaidi pengine kuliko mashindano yoyote yaliyo wahi kufanyika.

Beijing ilipata kura 44 dhidi yakura 40 za Almaty, Thomas Bach rais wa kamati ya Olympic alitangaza matokeo hayo mapema leo Ijumaa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video