Monday, July 6, 2015

IKIWA ni takribani wiki mbili tangu kikosi cha Yanga kilipoanza mazoezi chini ya Kocha Mkuu Mholanzi, Hans van der Pluijm, kuna wachezaji saba ambao wameonekana kuwakuna mashabiki wa timu hiyo kutokana na viwango vyao vya hali ya juu.
Miongoni mwa wachezaji hao wapo wa zamani na wale wapya waliosajiliwa msimu huu wakitokea klabu mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Na baada ya kuonyesha umahiri wao kwenye mazoezi, nyota hao walipata fursa ya kuwachengua zaidi mashabiki wa Yanga katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hivi karibuni.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video