Monday, July 6, 2015


Fenerbahce wametangaza kumsajili winga wa Manchester United Louis Nani
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno aliwasili nchini Uturuki jana tayari kukamilisha vipimo vya afya ili kujiunga na Waturuki hao baada ya kufikia makubaliano na Mashetani Wekundu wa Old Trafford.
Nani atatambulishwa rasmi katika uwanja wa Sukru Saracoglu.
"Nina furaha kubwa kuwa hapa," Nani aliiambia tovuti ya Fenerbahce baada ya kuwasili. "Nadhani bado nina nafasi kubwa sana kuonesha uwezo wangu kwa mara nyingine tena. Nitajitolea kwa moyo wangu wote kuhakikisha kuwa mashabiki wa Fenerbahce wanakuwa na furaha. Naamini kila kitu kitakwenda sawa.
"Naijua Fenerbahce vizuri sana. Ni klabu ambayo siku zote malengo yake ni kufika mbali, pia ninajihisi ni mwenye furaha sana kucheza na [Raul] Meireles pamoja na Bruno Alves. Msaada wao kwangu unanifanya nijisikie kama niko nyumbani. Naamini kwa ushirikiano huu pamoja na wenzangu tutafika mbali sana."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video