Tuesday, July 28, 2015


Bayern Munich wamekamilisha usajili wa kiungo mahiri wa Juventus Arturo Vidal kwa ada inayokadiriwa kufIkia Yuro milioni 40 na yuko mbioni kutambulishwa rasmi kwenye vyombo vya habari.
Kiungo huyo (28) alitua jijini Munich jana Jumatatu,kwa ajili ya kuchukua vipimo vya afya leo Jumanne, ambapo majibu yameonekana yuko safi kwa ajili ya kukipiga klabuni humo.
Bayern walikuwa sokoni kutafuta kiungo mpya baada ya kuondokewa na kiungo wao maridadi Bastian Schweinsteiger aliyeelekea kunako klabu ya Manchester United mapema mwezi huu, na ndipo walipoamua kutupa jicho lao kwa Vidal , kiungo mwenye uwezo wa kucheza zaidi ya nafsi moja uwanjani, ambaye hivi karibuni ametoka kutwaa ubingwa wa Copa America na timu yake ya Chile.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video