Wednesday, July 22, 2015

Barcelona wameanza maandalizi ya msimu mpya kwa ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya LA Galaxy.


Ikicheza bila Lionel Messi na Neymar, Barcelona ilimtegemea Luis Suarez ambaye alifunga goli la kuongozo dakika chache kabla ya kwenda mapumziko.



Dakika 11 tu baada ya kuanza kipindi cha pili, Sergi Roberto aliifungia Barca goli la kuongoza.


Tommy Meyer aliifungia goli la kufutia machozi Galaxy dakika za majeruhi.
Hapa chini ni Videos za mechi hiyo:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video