Tuesday, July 14, 2015

Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja akizungumza na maafisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF.
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray na maofisa wa NHIF.
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea msaada wa fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray na maofisa wa NHIF.
Wanachama wakiwa na maofisa wa NHIF makao makuu ya kikundi cha Timberland Jogging  baada ya kugawa msaada wa fulana pamoja na ahadi ya kufanya kazi p-amoja na kikundi hicho kilichopo Yombo Kilakala


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video