Sunday, July 12, 2015

Washambuliaji watatu hatari wa Yanga, kila mmoja kadfunga bao huku Yanga ikiiangusha kombaini ya polisi tanzania kwa mabao 3-0.

Katika mechi hiyo ya kirafiki iliyocheza kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Yanga iliibuka na ushindi huo mnono baada ya Simon Msuva kuanzisha sherehe hiyo ya mabao baada ya kufunga bao katika dakika ya 28.

 

Amissi Tambwe akafunga bao katika dakika ya 33 kabla ya mshambuliaji mpya raia wa Yanga, Donald Ngoma kufunga la tatu katika dakika ya 75.


Juhudi za maafande hao waliochanganyika kutoka timu mbalimbali za Jeshi la Polisi Tanzania nzima angalau kupata bao la kufutia machozi hazikuzaa matunda.

Source: Salehjembe

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video