Friday, July 31, 2015

Mshambuliaji mpya wa Coastal Union 'Wagosi wa Kaya' aliyesajiliwa majira haya ya kiangazi kutoka kwa 'Chama la Wana , ' Stand United, Mnigeria, Abasirim Chidiebere ameonekana kufurahia kuanza maisha mpya jijini Tanga.
Leo kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa facebook, Chidiebere ameweka wazi kwanza msimu ujao atavaa jezi namba 17 tofauti na namba 9 aliyokuwa anavaa Stand United msimu ujao.
Msimu uliopita, Chidiebere aliifungia Stand magoli 11.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video