Friday, July 10, 2015

Mudathir Khamis

YANGA SC ipo katika harakati za kumsajili Golikipa wa KMKM na Taifa Stars, Mudathir Khamis, ingawa timu hizo mbili zimelazimika kukaa tena mezani kujadili ada ya uhamisho.
Stori ni kwamba,  Yanga waliweka ofa yao mezani, KMKM wakaitosa, lakini sasa wameamua kupunguza na kufungua taa ya kijani kwa Yanga.
Timu hizo zipo katika mazungumzo kwa mara nyingine na kwa mujibu wa katibu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha wanaweza kumalizana mapema Juma lijalo.

Mtandao huu umemtafuta Dr. Tiboroha kutaka kujua maendeleo ya mazungumzo ya Yanga na KMKM.

Swali: Vipi kuhusu usajili wa Golikipa kutoka KMKM, Mudathir Khamis?, inafahamika kwamba mlishindwana ada ya uhamisho, lakini KMKM wameonekana kutaka kupunguza na mmelazimika kukaa tena mezani, hili limekaaje?


Dr. Tiboroha: Hili naomba kwanza tusiongelee leo, tutaongelea Jumatatu au Jumanne, (anacheka) bado liko jikoni, maendeleo ni mazuri.


Swali: Mbona kama taarifa hii imekushangaza?

Dr. Tiboroha: Hahahahaha! Kwa kweli sikuelewi kabisa yaani!, unafanya kazi kubwa!, hongera sana! Lakini Mungu akijaalia atavaa jezi ya Yanga msimu ujao (Mudathir).



Tutakuletea taarifa rasmi Jumatatu au Jumanne kama alivyosema katibu mkuu wa Yanga…..

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video