Friday, July 10, 2015

Mwanandinga toka nchini Uingereza Ryan Burge akiwa na Kevin Friday kwenye mazoezi ya asubuhi kabla ya kukwea basi kuelekea mkoani Tanga kwa mechi za majaribio.
Ryan Burge ameanza majaribio leo na kikosi cha Azam FC chini ya Mwingereza Stewart Hall.
Burge anatokea katika klabu ya Birmingham ya England, hali ilivyo inaonekana Azam FC, itamsajili.
Azam FC itacheza na Coasta Union na African Sports Kesho na keshokutwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video