MIDO LA SIMBA LATUA TOTO AFRICA.... Kiungo aliyekuwa anakipiga Simba SC, Abdallah Seseme 'Dullah' amesajiliwa na klabu mpya ya ligi kuu soka Tanzania bara, Toto Africa ya Mwanza. Seseme amesaini mkataba wa mwaka mmoja leo kuitumikia timu hiyo ya Mitaa ya Kishamapanda, Mwanza.
0 comments:
Post a Comment