MEXICO wametwaa Ubingwa wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho
la Soka la Nchi za Marekani ya Kaskazini na Kati pamoja na Visiwa vya
Carribean, CONCACAF GOLD CUP baada ya kuifunga Jamaica mabao 3-1 katika Fainali iliyochezwa uwanja wa Lincoln
Financial Field, USA.
Mabao ya Mexixco yalifungwa na Andres Guardado katika Dakika ya 31, Jesus Corona dakika ya 47 na Oribe Peralta dakika ya 61.
Bao pekee la Jamaica lilifungwa katika Dakika ya 80 na
Darren Mattocks.
0 comments:
Post a Comment