Msaanii maarufu wa maigizo (Bongo Movies) Jacob Steven maarufu kama JB ameonekana kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Yanga akiwa amefurahikupiga nao picha.
JB anafahamika kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba, lakini aliamua kupiga picha ya pamoja na wachezaji hao kwa ajili ya kuonesha kuwa kuwa kuishabikia Simba haimaanishi anauadui na wachezaji, mashabiki au wadau wa Yanga.
0 comments:
Post a Comment