Friday, July 24, 2015

Nimepitia Ukurasa Masau Bwire, msemaji machachari wa Ruvu Shooting na kukutana na Posti ya asubuhi akisema:

"KMKM imefungwa karibu mechi zote ilizocheza Kagame, sijui kwa nini! Nadhani ni bahati tu, uwezo wa kucheza mpira upo.

Usishangae leo bahati wakashushiwa hawa jamaa wakafanya kweli wakaleta shida mitaa ya Jangwani!

Naomba hilo lisitokee, waendelee tu kukosa bahati ili Jangwani waneemeke.
Siyo kwamba siwapendi hawa Wazanzibar, nawapenda sana, ni Watanzania wenzangu, ni kwa sababu pointi tatu kati yake na Jangwani hazina faida kwake kama ambavyo zina faida Jangwani.
Nawaombea Msimbazi wafanikishe usajili wa Olunga, wasajili na wengine mahiri ili ligi kuu ya msimu huu wafanye vema, wapate nafasi kushiriki mashindano ya kitataifa.
Kukosekana kwa Simba msimu huu katika mashindano ya Kagame, msisimko umekuwa kiduchu!
Katika mashindano yoyote hasa yanayofanyika nchini huwa na msisimko mkubwa mno yanaposhirikisha Simba na Yanga. Kukosekana kwa timu mojawapo, mashindano hudolola!

Simba oyeeeeer.....
Yanga mbele daima...."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video