Wednesday, July 22, 2015

Manchester United imeshinda 3-1 katika mechi yake ya  pili ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya San Jose Earthquakes.
Magoli ya United kwenye mechi hiyo yamefungwa na  Juan Mata (32), Memphis Depay (37) na 

Andreas Pereira (61).

Bao pekee la kufutia machozi  kwa wenyeji limetiwa kambani na Fatai Alashe dakika ya 42.

Man United captain Wayne Rooney jumps above San Jose defender Victor Bernardez to win the ball in the air during the first-half
Rooney (kulia) akichuana vikali  
Morgan Schneiderlin plays a pass during his second Manchester United appearance following his move from Southampton 
Morgan Schneiderlin  naye alionesha uwezo wake tena...

VIKOSI VYA TIMU ZOTE

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video