Monday, July 6, 2015

Mlinda mlango wa zamani wa Arsenal, Jens Lehmann amemtaka mchezaji Mesut Ozil kuongeza umakini katika michezo ya timu hiyo kwa msimu mpya wa Premier League. 
Lehmann amesema mchezaji huyo anatakiwa kung'ara katika mechi kubwa za Premier League na sio katika mechi ndogo tu.
Ozil, aliyesajiliwa na Arsene Wenger kwa ada ya Pauni milioni 42.2 kutoka timu ya Real Madrid mwaka 2013,taratibu amekuwa mmoja wa mihimili ya Arsenal baada ya kuanza vibaya na timu hiyo ya London. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video