Saturday, July 25, 2015

Diego Costa amesema kuwa ameshukuru sana baada ya kuona Radamel Falcao hakuwa na msimu mzuri katika klabu ya Manchester United hali iliyopelekea Chelsea kumnasa kirahisi.
Mkolombia huyo amesajiliwa na Chelsea kwa mkopo wa msimu mzima akitokea Monaco baada ya msimu uliopita kuitumikia Man United kwa mkopo pia.
Mourinho alifichua kuwa mshambulizi huyo aliamua kupunguza mshahara wake ili kuwaonesha mashabiki wa mpira Uingereza kuwa bado yuko vizuri.
"Ni nzuri sana kwetu kwamba Falcao hakuwa na msimu mzuri wakati akikipiga United na ndio maana kwa sasa tuko naye",alikaririwa na Daily Mail.
"Sote tunafahamu kuwa Falcao ana kipaji kikubwa sana. Kitu pekee anachohitaji ni kuaminiwa na kupendwa, na vyote hivyo atavipata hapa.
"Kocha ana furaha sana kwa kufanikiwa kumleta hapa na sote kwa pamoja tumefurahi kuwa naye pamoja katika kikosi chetu kwa sababu ni mchezaji wa kiwango cha juu. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video