Tuesday, July 7, 2015

MSHAMBULIAJI raia wa Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche akitokea benchi aliifungia Azam FC bao pekee la ushindi ikiilaza JKT Ruvu 1-0, katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Ruvu uliopigwa jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Kipre aliyeingia kuchukua nafasi ya Didier Kavumbangu dakika ya 80, aliifungia Azam FC bao hilo baada ya dakika tano tu huku akiunganisha krosi safi iliyochongwa na Salum Abubakar ‘Sure Boy’.
JKT Ruvu iliyoongozwa na mshambuliaji wa zamani wa Mbeya City na Rhino Rangers, Saad Kipanga ilionyesha upinzani kwa Azam FC na haikuwa bahati yao tu kupata bao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video